App hii ina zaidi ya game 200 za PS4 kama FIFA, GTA V, na God of War. Inafaa kwa wale wasioweza kudownload game kubwa, kwani unaweza kucheza zote kupitia app hii. Inapatikana kuanzia saa 3 usiku hadi asubuhi.
UTAPATA GAMES KAMA GOD OF WAR,GHOST OF TSUSHIMA,RED DEAS NA GAMES NYINGINE NZURI ZAIDI TAFADHARI FATA MAELEKEZO
VIDEO YA MAELEKEZO HAPO JUU UTAPATA MAELEKEZO JINSI YA KUPATA GAMES ZA PS 4 KWENYE SIMU YAKO (KITU CHA MUHIMU KWA WALE WATU WA FREE GAMES NI WE CHAT TU HAKUNA PROCESS NYINGINE YOYOTE ILE)
HII NI CLOUD GAME AMBAYO UTACHEZA GAMES ZOTE KAMA VILE GHOST OF TSUSHIMA,GOD OF WAR, WATCH DOG NA GAMES NYINGINE NZURI
EDEN ni emulator (application) inayowezesha kuendesha michezo ya Nintendo Switch na console nyingine kwenye simu au vifaa vingine. Hii inamaanish unaweza cheza games za Nintendo kwenye Android yako.
Hii ni Applocation ambayo inakuwa uwezo wa kucheza game za PS kwenye simu yako
Hizi ni APK games ambazo unazicheza kwenye simu (hizi ni app za games zenyewe ambazo utazi-install moja kwa moja kwenye simu yako bila emulator).
WINLATOR ni app inayowezesha simu kuendesha baadhi ya PC games; utendaji unategemea uwezo wa kifaa.
Hii ni version ya Winlator inayofaa kwa simu zenye GPU ya Mali (kama simu nyingi za Tecno, Infinix au Itel). Ikiwa simu yako ni Infinix, Itel au Tecno, tumia hii ili iendeshe vizuri PC games kwenye simu.
Hii ni version ya Winlator inayofaa kwa simu za kati (mid-range) kama Samsung au simu zenye processor ya Snapdragon au MediaTek. Tumia hii ikiwa simu yako si high-end lakini ina RAM 4GB+ ili games zicheze bila lag.
Hii ni version rasmi ya Winlator inayofaa kwa simu zote, hasa high-end. Tumia hii ikiwa simu yako ni ya hali ya juu au haijulikani GPU, lakini jaribu zingine ikiwa inasumbua.
PSP Games
Hizi ni games za PSP zote unazozijua wewe zote ziko hapa God Hand, God of War, etc. (Hizi ni ROMs au ISOs za games za PSP ambazo utaziweka kwenye emulator au console ili ucheze).
PS4 Games
Hapa utapata games za PS4 zote kwenye PS4 (Hizi ni faili za games za PS4 ambazo utaziweka kwenye PS4 au emulator).
PS3 Games
Hapa utapata games za PS3 kwenye PS3 lakini zinacheza kwenye RPCS3 (Hizi ni faili za games za PS3 ambazo utaziweka kwenye PS3 au emulator kama RPCS3).
Hii ni app special kwaajiri ya devices ambazo zina uwezo mdogo
Hii ni application ambayo ni simple kwa kucheza games za ps 4,3 and 5 kwenye simu yako kikubwa nikufata sitep hatua kwa hatua
MUHIMU
HIZI GAMES ZOTE UNAWEZA PATA KWENYE OPTION YA WINLATOR AU PC GAMES ZINA INGILIANA NA ZINACHEZA KWENYE WINLATOR PIA
Hii itakupa games zaidi ya 2000 za PC ambazo utazicheza kwenye PC yako.
VIDEO YA MAELEKEZO
HII APP INAWEZA KUCHEZA GAMEZ ZOTE ZA STEAM NA HAIPATIKANI GOOGLE.